Pongezi Mhe. Mwigulu Nchemba ( Waziri mambo ya Ndani)

Man-zoo

New Member
Mar 16, 2016
2
0
Mhe. Napenda kukupa pongezi sana kwa ueledi wako na UONGOZI ulio tukuka. Mungu azidi kuku bariki uwe na maisha marefu na uendelee kutumikia Watanzania wote kwa ujumla kwa juhudi zote. Ume ongea kwa utaratibu lakini ujumbe mzito, sidhani kama Mafaili ya watumishi/ askari hayata potea tena, watumishi / askari hawata nunua tena vyeo vyao, hawata nyenyekea kwa woga tena, ASKARI wako watafanya kazi kwa weledi na afya njema.

Pongezi hizi zime kuja leo mahususi hasa kwa kikao cha hivi ulicho Kifanya Uhamiaji Kurasini, kwa kweli ume kuna Watumishi / Askari wengi wa haya majeshi hasa ya MAMBO ya NDANI hakuna ulilo ongea lisilo la kweli yote ni kweli tupu.

Watu wa UTUMISHI wana abudika na zaidi wana pewa Nguvu na Askari walio katika vitengo hivyo vya utumishi. Tumekuwa tuna pata majibu magumu amabayo wengine wali FADHAIKA na MAJIBU haya na walisha kimbia, cha ajabu wasomi hawa wana sahau hata kanuni za ki utumishi, hawaoni ATHARI ya kupoteza Askari mwenye Mafunzo, kwao wao Askari ana acha kazi wanaona ni SAWA kabisa.

Mambo ya Uhamisho, Vyeo, Nafasi za shule bila chochote kitu huwezi kufanikiwa. Malalamiko yamekua mengi mnoo, lakini sasa Ukombozi umefika kupitia wewe, pongezi nyingi.

Mhe. Kuna Askari mna toka nae Depo baada ya mwaka mmoja ana panda cheo na mna kuta mna fanana elimu na kila kitu ukifuatilia amefanikiwaje uta ambiwa MEDANI za KIVITA zime tumika.

Lakini pia kuna askari anatoka shule na kupanda cheo pia wakati mwingine ata sota pengine wata panda kipindi hiki ulivyo watikisa wana weza wakumbuka askari hao na kuwapandanisha.

Kuna askari ana maliza shule ana pigiwa simu kwamba waisha VYETI ili waweze pupandiswa vyeo, lakini kuna wengine wame isha peleka karibu mara 10 lakini bado HAVIONEKANI mpaka leo ( Haya yana Ushahidi si Porojo) Kwa kweli UNAWEZA LIA.

Cha ajabu, hawatambui ELIMU zetu lakini wana tambua kuwa tunadaiwa na BODI ya MIKOPO na Tulisha anza kukatwa pia. Sijui ni kwa kua sisi si KABILA zao? Au MIKONO yetu Mifupi? Au HADHI zetu Dhaifu?

Binafsi naomba speed hii iongezeke Mhe. Ili Watumishi/ Askari wote waone wako chini ya BABA mmoja bila kujali KABILA wala HADHI ya Mtu. Ikiwezekana UTUMISHI wange kuwa wana ROTATE kama ASKARI wengine inge leta TIJA zaidi

Malalamiko yame kuwa mengi tangu enzi na enzi kuna thread nyingi humu nadhani utakuwa ume zisoma, naomba ni ambatanishe :

1. Google Groups
2.
 
Back
Top Bottom