PONGEZI KWA TBC 1

Leo katika kuperuzi channeli za kibongo nimeshtuka sana kwa jinsi tbc1 walivyo na HD ya nguvu cjui huu mchakato umeanza lini lkn wamejitahidi sana. nb mbolesheni vipindi ili kuwe na ushindani na televisheni nyingine.
Unaota ?
 
HD ya nguvu?? 1080 au ultra? It cant be labda macho yako. Bado saana tunaombea ifike huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…