Leo katika kuperuzi channeli za kibongo nimeshtuka sana kwa jinsi tbc1 walivyo na HD ya nguvu cjui huu mchakato umeanza lini lkn wamejitahidi sana. nb mbolesheni vipindi ili kuwe na ushindani na televisheni nyingine.
Sisi tunaendelea kulia na maudhui tu,maana hata wakibadili wakawa HD lakini mambo yao yakawa Yale Yale hakuna cha maana walichofanya,wabadilike kifikra na kiutendaji
Mimi kilichonishangaza ni kipindi cha TCRA baada ya taarifa ya habari Leo....
Haloooo nimecheka Sana walah picha zao.
Yaani camera inaonesha mtu anaongea kamera inamkata kichwa. .mauzauza
Mkuu nimeangalia usiku huu nikashindwa kuelewa kabisa sijui jamaa wa kamera alikua kalala au alipewa juice akasahau kazi kabisa?? sijui wanaboresha nini hawa ndugu!
Mimi kilichonishangaza ni kipindi cha TCRA baada ya taarifa ya habari Leo....
Haloooo nimecheka Sana walah picha zao.
Yaani camera inaonesha mtu anaongea kamera inamkata kichwa. .mauzauza