alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
nadhan unajifunza kutumia jf bt karibu uwanja huu:whistle::drama::glasses-nerdy:Wana jamvi,mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni,,mh rais wetu kajitahidi saana kupunguza kero za walimu wetu..mf kupata mshahara kwa wakati,,hasa wakati wa ajira mpya,,,kupanda madaraja nk. Katika hili mh rais anahitaji pongezi nyingi.