Pongezi kwa sam maela wa itv kwa jitihada zako

Pongezi kwa sam maela wa itv kwa jitihada zako

Ahsante mtoto wa Baba Mwingira EFATHA na mama lakwatare MLIMA WA MOTO kiroho
Kweli wamekulea mpaka upendo ukawa sifa yako ubarikiwe endelea kusali kunyonya maziwa kwao ya kiroho ukue zaid kwa utumishi uliotukuka katika hiyo tasnia
 
hatimaye sam maele amempambania dada yetu mpendwa beatrice amepelekwa india kwa matibabu ya mguu hakika sam ana hitaji pongezi na moyo wake uendelee kuwa hivyo hivyo na wana habari wengine waige mfano wake ili taaluma ya uandishi izidi kuheshimiwa hapa nchini na duniani kote, pia nashauri katika tuzo za uandishi bora kati ya watu watakaopewa basi sam maela awe mmoja wapo. Hakika hata wana jf walio angalia habari ya leo wameshuhudia kwa macho yao jitihada za sam maela

Tatizo wife wangu anampenda mpaka ananikera. Taarifa ya habari yote yeye anasubiri atokee Sam Mahela, ikipita tu anaondoka. Sasa sijui mapenzi hayo yanahusiana na anachoripoti au anasikia raha akimuona tu!
 
Back
Top Bottom