hatimaye sam maele amempambania dada yetu mpendwa beatrice amepelekwa india kwa matibabu ya mguu hakika sam ana hitaji pongezi na moyo wake uendelee kuwa hivyo hivyo na wana habari wengine waige mfano wake ili taaluma ya uandishi izidi kuheshimiwa hapa nchini na duniani kote, pia nashauri katika tuzo za uandishi bora kati ya watu watakaopewa basi sam maela awe mmoja wapo. Hakika hata wana jf walio angalia habari ya leo wameshuhudia kwa macho yao jitihada za sam maela