Pongezi kwa kikosi cha kupambana na Dawa za Kulevya

eti hongera, ugomvi wa magenge huo na kuna mtu kadhulumiwa hapo au fihting controling the territory.

Yule jamaa siku hizi hana ujanja tena sasa hivi amerudi mwenyewe kitengoni, vijana wanabenjuka tu...soon samaki wataanza kuadimika.
 
Viingilio vya kuanzia 100k mpala 1mil vimeanza kwenye matamasha na soon utaona wacongoman wanavyoanza kumiminika na band zao..
 
Mitkas mjini imeadimika sahv ujuwe
Na inasemekana mapaka hawapeleki tena mizigo afrika kusini maana hko wamedhulumiwa sana,mpaka sasa kitengo kimefanya kazi nzuri kwa bongo

Ova
 
Huyo kusaya unaambiwa ni moto wa kuotea mbali anapiga kazi sio kitoto na akikuweka kwenye target unaambiwa anakua na ushahidi wote hakukamati tu ilimradi
 
Pongezi nyingi sana kwao kwa operesheni kabambe ya kuwanasa wauza Dawa za Kulevya almaarufu kama unga.

Tunaona sasa wamedhamiria kuwakamata,
Kamwe wasimuonee mtu yeyote aibu, awe na cheo au awe maarufu kamateni!!

Wapo wengi wanafahamika ambao sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu kuuza madawa, hawa watu wanao taka utajiri kwa kuangamiza kizazi chetu nashauri Wapigwe risasi.

Bunge litunge sheria kuwa mtu yeyote akitiwa hatiani kwa madawa ya kulevya anyongwe hadi kufa.

Wauza madawa hawana tofauti na wauaji wengine.

Watanzania wenzangu tuendelee kuwafichua wauza madawa ya kulevya kweye maeneo yetu; Sinza, Kinondoni, Mbagala, K/Koo, Temeke, Boko, na maeneo mengine .
Hao wamechomeana tu baada ya kutokatiana mafungu.
 
Huyo kusaya unaambiwa ni moto wa kuotea mbali anapiga kazi sio kitoto na akikuweka kwenye target unaambiwa anakua na ushahidi wote hakukamati tu ilimradi
Hiyo ndiyo namna ya kukamata muuza madawa na ushahidi juu
Syo unawataja majina na kuwaita

Yah kusaya hatari sana

Maana nzowa mwenyewe alimshindwa kambi

Ova
 
WE UKITAKA KUJUWA NDAGA IMEADIMIKA MTAANI,WE ULIZIA BEI YA KETE 1 IKOJE?
YAH NI KWELI JAMAA WAMEPIGA KAZI SANA

OVA

Halafu mateja wengi bidhaa ikiadimika wanakufa sana majuzi nilipita darajani river nilikua na wanangu mateja, nafika napewa data kama 7 hatunao tena maana hawapati dawa
 
Ndomana methadone wamejazana sahvi huko

Ova
 
Ndomana methadone wamejazana sahvi huko

Ova

Ndio dawa imeadimika na jamaa akikaza hivo Hivo heshima kimataifa itarudi maana nchi ilichafuka ukivuka border wakiona gamba la tz mashaka kibao mixer kukaguliwa mara tano tano
 
Pongezi nyingi sana kwao kwa operesheni kabambe ya kuwanasa wauza Dawa za Kulevya almaarufu kama unga.

Tunaona sasa wamedhamiria kuwakamata,
Kamwe wasimuonee mtu yeyote aibu, awe na cheo au awe maarufu kamateni!!

Wapo wengi wanafahamika ambao sasa wamerudi kwa kasi ya ajabu kuuza madawa, hawa watu wanao taka utajiri kwa kuangamiza kizazi chetu nashauri Wapigwe risasi.

Bunge litunge sheria kuwa mtu yeyote akitiwa hatiani kwa madawa ya kulevya anyongwe hadi kufa.

Wauza madawa hawana tofauti na wauaji wengine.

Watanzania wenzangu tuendelee kuwafichua wauza madawa ya kulevya kweye maeneo yetu; Sinza, Kinondoni, Mbagala, K/Koo, Temeke, Boko, na maeneo mengine .
Takukuru waige mfano
 
Back
Top Bottom