Pongezi Kwa CHADEMA

Pongezi Kwa CHADEMA

Naunga mkono hoja 100%, ila mleta uzi subiri wana wa Nape na Mwigullu watakavyokushambulia hapa, ingawa ukweli unajidhihirisha wenyewe, ningekuwa na uwezo ningesogeza siku ili 2015 ifike mapema ili liwalo na liwe basi!
 
Najiuliza wanakamata pembe za ndovu kila kukicha je,mbona wanaowinda hawakamatwi?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Saa ya ukombozi imefika nguvu zielekezwe kuwahamasisha watu wajiandikishe kupiga kura na wapige kura ya ukombozi wa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom