Pongezi kwa BOT thamani ya Shilingi ya Tanzania imeimarika

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Kwa miezi miwli sasa thamani ya shillingi ya Tanzania imekuwa imara(stable) kulinganisha na fedha za nchi mbalimbali.
Ninaomba juhudi iendelee kufanyika ili shillingi ya Tanzania iendelee kuimarika kuliko hivi sasa.
 
Kazi yako ndio inaimarisha shilingi yetu, chapa kazi kwa bidii.
 
Back
Top Bottom