Sijakosea jukwaa nimeona hizi pongezi nizitolee huku
Sasa ni rasmi maandiko yetu ndani ya
JamiiForums yatatambuliwa chanzo chake ni
JamiiForums Tanzania
Sasa unapoperuzi kwenye majukwaa na mada utaona upande wa juu kulia kuna maandishi ya kufifia yameandikwa Jamii forum Tanzania
Ni hatua kubwa na nzuri inayostahili pongezi kubwa.. Ule wizi wa kazi zetu ndani ya JF naamini utakomq au kupungua kwa kiasi kikubwa
Naamini sambamba na hill kuna hakimiliki ipo tayari pia
Hongereni sana!