Pongezi Jeshi la Polisi

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Feb 25, 2013
1,467
2,000
Natoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi mkoa wa kipolisi wa temeke kwa kukamata madereva waliokuwa wakiendesha magari ili hali wamekunywa pombe. Hongereni sana kwa ubunifu huu, hili liigwe na polisi wote tanzania nzima na ajali zitapungua sana. Ukitaka kunywa usindeshe, nenda na dereva ambaye hanywi pombe au kunywa ukodi taxi. Safii sana na watakaa mahabusu mpaka jnne then mahakamani. GOOD, POLICE FORCE - TEMEKE
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom