Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kwa utendaji Wa Polepole kwa kila ngazi ambayo amekuwa akipewa, unatoa picha halisi kuwa huyu bwana siyo Wa kwetu ila tunamlazimisha kuwa Wa kwetu.
Sasa na yeye anatuoneshea kuwa siyo Wa kwetu kupitia utendaji wake, safi sana Polepole endelea hivo mpaka watakuelewa tu na hatimaye watakuachia uendelea na kazi zako zinazokufaaa
Pole pole kabla na baada ya kuvalishwa kijani