kama ni hivo hakuna haja ya kuwa na taifa, ilitakiwa kila mkoa uende kivyake, let say kila kiongozi akitolewa cheo na serikali au taasisi akienda kulalamika kwao au kushitaki tutakuwa na taifa? Ina maana kina nchimbi waende songea kulialia kwa sababu wamenyang'anywa vyeo vyao? Wanasiasa kama kina zitto ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu. Kukubaliana na upuuzi huu ni kuangamiza taifa!