Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Baada ya chadema kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa ccm.Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa cdm bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.Baada ya ccm kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.
Mbunge 1 CDM = CCM 20 jibu sahihi ni 23 X 20 =460 wabunge wa CDM ni wengi wamezidi hata idadi ya wabunge na ndo maana kila kukicha ni CDM tu iwe bungeni, kwenye mbio za mwenge, UWT,TISS Nk. sababu ni wengi kuliko ujuavyo.Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
pro-chadema jf wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM.
Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.
Baada ya CCM kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.
kweli nimeamini RITZ shule huna, aise CHADEMA ina viti 23? pole sana usiwe unatumia masaburi kufikiria
Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?
Mijitu mingine sijui haioni?
Pro-Chadema JF wana vituko viti 23 vya ubunge ndio vingi.
Nyingi huanza na mbili. Angekosea kama angesema ina wabunge wengi kuizidi ccm. Lakini huenda yuko sahihi, cdm ina wabunge wengi WAKATOLIKIHuoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?
Mijitu mingine sijui haioni?
Huoni hata haya kusema chadema ina wabunge wengi?
Mijitu mingine sijui haioni?