Pongezi Chadema kuvuka kikwazo hiki

Pongezi Chadema kuvuka kikwazo hiki

Chadema ina wabunge zaidi ya 40, yaani 23 jumlisha wa viti maalum.
 
Chadema ina wabunge zaidi ya 40, yaani 23 ni viti maalum ya wabunge.
 
AAAH UYU BIBI SI MZURI KUMFANYIA REFERENCE, KESHATUARIBIA SANA BUNGE LETU, AU WABUNGE MACHACHARI AKA MAJEMBe LEO HAWAKUUDHURIA????

ni kwamba ni siku nyingi hoja za msingi ya wizara husika mwakyembe alishazijibu.Hivyo kufanya wabunge kuchangia kwa staha, hata kama uwekezaji wa kimaendeleo ni mdogo kufanya bandari, reli na ndege kujenga uchumi mzuri.Hata hivyo huyu mama kiroboto, si mzuri kwa wapinzani, yuko bungeni kuwamaliza wapinzani akisaidiana na mapumba, na ndungai.
 
Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM.

Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya spika'kutoka kwa Lukuvi na wengine ili kuwamaliza nguvu jambo ambalo hatukuzoea kuliona ktk bunge la mh Sitta.

Baada ya CCM kuanzisha na wengine kujibu mapigo na kuonekana sasa ni kero,hatimaye jioni ya leo spika wa bunge amefunguka na kukemea tabia ya wabunge kuomba miongozo na kusema kuwa kanuni haziruhusu na amewasifu sana wabunge leo kwa kutoomba mwongozo hata mmoja.


Sio kweli, nafikiri wabunge wako ndiyo wanaongoza kuomba miongozo!
 
Hivi CCM inaweza ikasema ina wabunge? Wanaunga hoja asilimia 100 halafu wanaanza kuikosoa. This is insanity. Labda ukisema aslimia 60, halafu ukaongeza ningeelewa. huyu Ritz yuko kazini, lakin ajitahidi basi hata kufikiri kidogo.
 
Jamani kuleta mambo ya CCM na Kiroboto humu jamvini na tunaswaumu zetu mimi mtanifanya nianze kunywa Pombe na Ramadhani yenyewe basi. Kichefuchefuuuuuuuu
Vilevile nakuomba ukubali kuhesabiwa katika sensa ya tarehe 26 mwezi huu.
 
Back
Top Bottom