assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Akizungumza kwenye kongamano lililofanyika diomond jubilee shehe ponda ameitahadharisha serikali kutaka kumfunga mdomo asizumze juu ya masuala ya dini ambapo hiyo ni haki kikatiba na yeye kama raia wa tanzania anapaswa kuheshimiwa.source majira na mtanzania
Kung'olewa meno na kucha? Tunatambua kuwa hiyo ndiyo kazi ya serikali ya ccm.Nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.
Nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.
Nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.
nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.
MBN unazungumza kwa chuki au haki ni watu fulani tu wengine wanapaswa kufungwaHuyu ni Ponda si ni MFUNGWA WA NJE na yuko chini ya UANGALIZI?Haya ndiyo madhara ya kupindisha sheria ili kumfurahisha mtu fulani. Huyu Ponda alitakiwa awe BEHIND BARS sio kifungo cha nje!
mungu akulinde dunian na aghera aminSh Ponda usitetereke.....simama imara hakuna mwenye uwezo wa kukuziba mdomo......sana sana watakueka Jela na hiyo kwa Waislam ni University llah Yusuf.....kingine labda wakuhamishe mji na hiyo kwa Waislam ni Hijra Fii Sabilillah...jambo la mwisho ambalo wataeza kukufanyia ni kuuua na kukupa tiket ya Jannat,,....raha gan ilioje Muislam kuuawa na Kafir....,,ivyo bac Muislam hana hasara yoyote ile..,,wafanye watakayofanya ila wajue kua ndo wanakupandisha darja mbele ya Allah SW..,,Jazaka llah kheir Sh Ponda our Muslim Fighter
Nadhani siku moja atakipata anachokitaka huwezi kushindana na serikali.
acha chuki huyu si mwanasiasa ni mfia diniKwani huyu Ponda hakuongea na Lipumba misikitini wakati wa harakati za kumrudisha ikulu JK 2010?
mungu akulinde dunian na aghera amin
kweli mkuu keep in touch alwaysamiiiiin,,nawe pia Allah SW akulinde Dunian na Akhera..unajua Qur an kamwe haikosei..,,Allah SW ashasema chuki zao juu ya Waislam ni kubwa sana kuliko wanayoyadhihirisha kwenye vinywa vyao..,,ivo bac tuzid kumuomba Allah SW atulinde na hila zao.......(Hamtopata Pepo mpaka muyapate waliyoyapata waliokua kabla yenu),,...!!
amiiiiin,,nawe pia Allah SW akulinde Dunian na Akhera..unajua Qur an kamwe haikosei..,,Allah SW ashasema chuki zao juu ya Waislam ni kubwa sana kuliko wanayoyadhihirisha kwenye vinywa vyao..,,ivo bac tuzid kumuomba Allah SW atulinde na hila zao.......(Hamtopata Pepo mpaka muyapate waliyoyapata waliokua kabla yenu),,...!!