Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 966
- 537
Ponda anasema: " watu wote wasio waislamu ni makafiri, na makafiri lazima wauawe ili dola ya kiislamu isimame, na ukiua kafiri unapata dhawabu"
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Acha ushabiki thibitisha kauli yako kama wewe siyo mzushi.
Unaonyesha hukusoma post yangu... HAKUNIJIBU MIMI, BALI ALIMJIBU MTU MWINGINE... Majibu aliyoyatoa sikuona kama yanatakiwa yatolewe na Great Thinker.... ndiyo maana nikasema...''Great thinkers hawana majibu ya dizaini hii....'' na hakuna mahala nimetaja CD, wala PONDA.ila greater thikers wanatakiwa watoe majibu ya dizaini gani, mtu hasumbuki na -------- ndo maana ukajibiwa kulingana na upuuzi wako, hilo nalo linahitaji mtu aende shule, hivi unaweza kuniambia how can u be so'sure kama kote uliposema ameleta uchochezi? Kwa propaganda za media au? Umeshawahi kupata nakala ya cd ambayo anayoshtumiwa kaleta kauli ya uchochezi? Maana sehemu zote alizofanya mihadhara cd zake zipo? For ur information Na hata huko morogoro hakuongea cha sana zaid ya kuwaambia waislamu waliohudhuria pale kuwa sku hiyo yeye si mzungumzaji bali siku inayofuata ataongea msikit wa aljabar kwa hiyo waumin wajitokeze, haya kauli ya chochezi hapo ipo wapi? Unatakiwa uvarify kabla ya kupost vitu
funga bakuli lako pimbi wewe
Kafiri mkubwa wee, Tena unyamaze wala tusikuone tena hapa !! Kwenda ukafie na ukafiri wako hukoo!
Kazi kwelimweli, hivi matusi haya si yanafuta thawabu zote za kufunga
baba ako anavumilika?We kafiri fumba kipumulio chako.We napolic wate mnago... -------.
Walah kwa matusi haya Mtaiona Firdaus inshallah
Mkuu plz.be fair ! hukuweka comments zilizowasukuma wachangiajiUjumbe wangu kwenu ni huu.....
Naongezea, WAISLAM HAWA NDIO MFANO HALISI WA UISLAM HASA UKIZINGATIA NI SIKU MBILI TU ZIMEPITA TANGU WAMALIZE MFUNGO?
The man (tamko lako lilisikilizwa na IGP wako akatekeleza) lakini mkono wa Mwenyezi mungu ulimsaidia kiumbe chake.......MunguWeee Ulimwengu wote umeshuhudia tukio na Majeraha yaliyo sababishwa na RISASI ZA MOTO aina ya Kalibari 4.5" Risasi ambayo inaweza kuuwa TEMBO wawili na NYATI mmoja Risasi hiyo ilipasua bega la Masikini shehe Ponda Issa Ponda mtetezi wa haki za masikini na wanyonge.!! akiwa katika mazungumzo ya mkusanyiko huru wenye kibali maaalum, hakuwa hata amebeba kinga, Lakini ya Mungu mengi !! kanusurika.Mnaomtetea Ponda wote akili zenu zimebunguliwa na mdudu aitwaye UDINI. Ponda hastahili hata kuitwa sheikh. Huyo ni baladhuli mkubwa anayeivuruga amani ya nchi hii. Hakuna haja ya kumpa masikio yetu mtu anayetolea dukuduku lake misikitini. Hata kama nia yake ni njema bado kwa njia anayotumia inaleta mashaka. Ponda hana tofauti na makaburu wa afrika kusini waliotumia rangi kueneza ubaguzi, huyu Ponda anatumia udini. IGP mwema tuma vijana wako wakamate mbaguzi huyu. Ni bora mtu mmoja akafa walio wengi wakaishi kwa amani, badala ya mtu mmoja kuachwa akisambaza sumu ya ubaguzi wa kidini kama Ponda.
Ponda anasema: " watu wote wasio waislamu ni makafiri, na makafiri lazima wauawe ili dola ya kiislamu isimame, na ukiua kafiri unapata dhawabu"
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
akirudia tumwombee "albadili"
Ushukuru hao snipers wako wamekosea shabaha maana wangetimiza lengo moto ambao ungewashwa mpaka sasa hata huo muda ulioutumia kubonyeza keyboard au kamchina kako usingeupata. Fahamu kuwa kuna waislamu zaidi ya 3/4 nchini wanaomkubari na kumuunga mkono Ponda idadi ambayo ni kubwa kuliko wapiga kura waliomuweka JK madarakani au kura zota za JK na Slaa. Usidhani kuwa hayo mabomu ya machozi yanayobebwa na vibaraka FFU yanaweza kukuhakikishia amani kama watu watakuwa fade up na kuamua "kama mbwai na iwe mbwai" kumbuka sakata la Mwembe chai vituo vingi vya polisi maeneo ya Manzese, Mburahati, Tandale na Kiduka vilivamiwa na polisi walikula chochoro. Sipendezwi na tabia ya Ponda kuvunja sharia kila siku tena kwa makusudi lakini kauli za kishabiki kama zako zitaliangamiza taifa, polisi wanapaswa watumie busara kushughulika na waalifu sio kukurupuka tu kisa Pinda kawaruhusu.