hapo ndipo kwenye udhaifu wa hii serikali ya dhaifu yaani mtu anafanya makosa wanamwangalia tu siku akiiba simu ndiyo unamjumlishia na makosa mengine lazima watu tujiulize kosa la kuiba simu halina mdhamna....Kuna yule jamaa anayesema watu flani wachinjwe alitakiwa apelekwe huko haraka. anawezaje kuhamasisha watu
wachinje wengine kirahisi namna ile tena kupitia mihadhara, cd nk. Mtembezi ana cheka tu eti anakemea, anatakiwa
kuchukuwa hatua vinginevo makubwa yanakuja na atapata aibu kubwa hata huo mkakati wa ndoto ya ukatibu mkuu
UN...maana akili za mtembezi kuruka ruka analenga kuaaffect intenational relation, akilenga madaraka... - ni upuuzi tu!
Serikali imemchekea sasa tunaona mavuno mchungaji kachinjwa. Hawa watu wanatishia utanzania wetu si wa kuchekea
kabisa wao kwao ni huko mahabusu wasiruhusiwe kuja mitaani kunajisi amani yetu.
Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?Lulu kauwa bila kukusudia kapewa dhamana, shehe Ponda kafanya nini kikubwa kisichstahili dhamana, dhamana ni haki ya kila mtu, apewe haki yakr
Ponda si gugu, Gugu ni Kikwete na ccm yake, choko choko zilianzia zanziba na zilianzisha na kikundi kilicho asi baada ya kuahidia ajira na baada ya uchanguzi wa mwaka 2010 baada ya uchaguzi wakawatosa kikaasi, ndicho kilichokuwa kinachoma makanisa na maofisi CCM wanalijua hili lakini watasingizia vikundi vingine kuficha uhuni wao...Mfano mfu huo mazee..! Madhara ya Ponda kuwa nje ni makubwa kuliko tunavyofikiria. Alitumika sana yeye na shekhe mmoja anaitwa Kudecha kupiga kampeni za CCM baadaye wakawa hakuna wa kuwagusa angalia shida tunayoivaa ya udini, tuanze sasa kushughulika na hawa magugu kwenye ngano kama Ponda.
Kwa kosa lipi sasa, tumeona vikundi mbalimbali vikipigania haki zao wanazo amini zimeporwa ni kama alivyo kuwa anafanya ponda kama ni uharifu mbona hata wanachama wa yanga mara ngapi wamekuwa wakivamia nyumbani kwa viongozi wao na kutishia kuua mbona sijaona kukamatwa kwani inatofauti gani na lichokuwa anakifanya ponda...
Kwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?
Jaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama kuna mazingira ambayo ponda hapewi thaman nafikiri uhuru kenyatta anayetuhumiwa kuua mamia ya watu asingekuwa kwenye kampen. Mpen Ponda bail akatunze familia yake.
Pole sana hujui hata alie sababisha mauwaji huko Geita...kamuulize NchimbiMafano wa Kipuuzi huo! Mashabiki wa Yanga lini wameuwa kama walivyofanya wachinjaji huko Geita? Lini Mashabiki wa mabingwa wa Kagame wamevamia na kuvunja na kuharibu mali za watu? Kumbuka hamasa za Ponda kule Mbagala na kilichotokea makanisani. Ponda hana stahili kuishi kwenye jamii ya wastaarabu
Nilikuwa naongea za jamaa mmoja wa usalama akaaza kujitapa kuwa mwisho wake umefika kwani wamesha mfatilia kuwa si mtanzania bali ni mnyarwanda aliingia nchi akiwa mdogo akaishi huko kigoma nikajiuliza kwanini nchi hii ukiwa kinyume na watu walioko kwenye system lazima uambiwe wewe siyo mtanzania..lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kujua mengi kutoka kwa huyo ---- wa usalama nilibaki kumsikiliza tu...
Ngoja nipayuke mkuu na kusema ukweli ambao wengi wanaujua lakini wanauma uma maneno.Lulu si mtu wa hatari katika jamii hata kidogo! anayebisha na kudhani lulu ni mtu wa hatari kwa usalama wa taifa hili anyooshe kidole.mbona sioni vidole? Ponda ni mtu hatari kwa usalama wa nchi hii.Nitatoa mfano kidogo.Kwanza ni nani ambaye amekuwa akifuatilia harakati na hotuba za ponda alizokuwa anazitoa walau kwa miaka miwili mfululizo? kwa wale ambao hawakumfuatilia niwape scenerio moja maarufu.Mwaka jana Ponda na wafuasi wake waliambiwa wasiandamane;Ponda akaongoza maandamano kuelekea Kidongo chekundu.Polisi wakaamua wayasindikize maandamano japo waliyakataza; wakayasindikiza hadi uwanjani.Ponda alicho kisema uwanjani ni kwauliza waislam walioandamana naye "Walisema tusiandamane ;tumeandamana hatujaandamana! wafuasi; tumeandamanaaaaa! Wametufanya kitu hawajatufanya? wafuasi;Hawajatufanyaaaaaa! Ponda akapigilia msumari wa mwisho kwenye nchi hii tutafanya chochote tukiamua na hakuna wakutuzuia" Kitendawili; nani asiyejua kwa nini ponda hakupewa dhamana?
ponda hatoboi kabisa DPP ameshaliza kazi, huwezi mtendea haki mvunja haki hata kwa fitina wampoteze tu.
Ushaambiwa anashirikiana na AL SHABAB unafikiri kuna dhamana hapo??
Kilichobaki ni kumpeleka GUANTANAMO tu
karibuni watamkamata kikwete.subiri tu utaona.Kwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...
Crashwise naona bado unahang over za valentine. Ponda apumzike zake selo maisha yaendelee ...nakusihi usiandamane polisi wamejipanga liwalo na liweKwani kuandamana si ni haki ya kila mtu? unajua alikamatwa kwa kosa gani? je hana haki ya kupata mdhamana...Juzi feleshi anasema ni pamoja na usalama wa Ponda ndiyo maana hawataki kumwachia kweli, hivi ponda watu wana hasira nae sana kuliko alie mteka Dr. Ulimboka, hivi Ponda wanachi wana mchukia kuliko Kikwete, Lowasa, Rostam, Chenge...mbona hawaja wakamata...
Mafano wa Kipuuzi huo! Mashabiki wa Yanga lini wameuwa kama walivyofanya wachinjaji huko Geita? Lini Mashabiki wa mabingwa wa Kagame wamevamia na kuvunja na kuharibu mali za watu? Kumbuka hamasa za Ponda kule Mbagala na kilichotokea makanisani. Ponda hana stahili kuishi kwenye jamii ya wastaarabu
Amefanyia Zanzibar na Dar es salaam!Kwani kafanyia wapi ugaid jaman? Mbona hamufuatilii mambo!
kauli ya kummaliza niliisikia kwa wanausalama huyo akisema kuna pori kule Dodoma watampeleka ambako ndiko kuna gereza la watu hatari nchini...
Nilikuwa naongea za jamaa mmoja wa usalama akaaza kujitapa kuwa mwisho wake umefika kwani wamesha mfatilia kuwa si mtanzania bali ni mnyarwanda aliingia nchi akiwa mdogo akaishi huko kigoma nikajiuliza kwanini nchi hii ukiwa kinyume na watu walioko kwenye system lazima uambiwe wewe siyo mtanzania..lakini kwa kuwa nilikuwa nataka kujua mengi kutoka kwa huyo ---- wa usalama nilibaki kumsikiliza tu...