pombe

Andrew abel

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
49
Reaction score
4
hivi tutaacha pombe kweli??!..maana sasa ni full kujiachia wINE mpaka sh.600 !!..burudani!
 
viroba? Hahaha utakufa weye siku hizi watu wanaweka gongo ndani ya packet za viroba.
 
Mi nimefanikiwa kuacha
Siku hizi ni mwendo wa Fanta tu.
 
Jamani tusidanganyane hapa hakuna mtu asiyependa POmbe nikutokana na maradhi pengine hali ya uchumi pia....binafsi sijafikiria kuacha kunywa mululu labda kiwanda kiache production Asanteni
 
Kama Mungu aishivyo (na naomba anisamehe kama nimelitaja jina lake, bure) na kwa nguvu ya jina lake na kwa Yesu Kristo mwana wake sitakunywa tena pombe katika uhai wangu alioniahidi hapa duniani (ambao ni at least 70 years with a maximum of 120)
 
Mkuu hakatazi pombe bro
 
Ulimsikia nani kaacha pombe?? Sema unapumzia au mifuko ndo ishatoboka..mwezi wa kwanza huu!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jamani tusidanganyane hapa hakuna mtu asiyependa POmbe nikutokana na maradhi pengine hali ya uchumi pia....binafsi sijafikiria kuacha kunywa mululu labda kiwanda kiache production Asanteni

shindwa na ulegee usipende kujenerolaizi
 
Kama Mungu aishivyo (na naomba anisamehe kama nimelitaja jina lake, bure) na kwa nguvu ya jina lake na kwa Yesu Kristo mwana wake sitakunywa tena pombe katika uhai wangu alioniahidi hapa duniani (ambao ni at least 70 years with a maximum of 120)

ubarikiwe na Mungu akujalie maisha marefu.
 
Ukiona pombe zinakushinda...kunywa maji ya kisima
 
Jamani tusidanganyane hapa hakuna mtu asiyependa POmbe nikutokana na maradhi pengine hali ya uchumi pia....binafsi sijafikiria kuacha kunywa mululu labda kiwanda kiache production Asanteni

ndo unavyojifariji kuilea nafsi yako ikupotoshayo? Shauri yako!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…