Pombe za kijijini Alfajiri

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,692
Reaction score
14,079
Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu.

Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu.

Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini.

Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka.

Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda katika mazingira ya namna hii.

Na cha ajabu sana katika hali hiyo unapomuomba Mwenyezi Mungu jambo lako mara nyingi huwa linafanikiwa.
N.B.
Pamoja na hayo yote kwa sauti ya chinichini huwa tunafuatilia ibada za Morning Glory.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…