Pombe Sio Nzuriii.....!!!!

Pombe Sio Nzuriii.....!!!!

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
kajichokea mwenyewee....nb: co bongo hapa
02.jpg01.jpg03.jpg04.jpg
 
Duh Demu mkali sana sana, ukimpata kama huyu unakula kama unavyokula samaki
 
me bwana demu kama mnywaji stimu sijui zinapoteleaga wapi...hata bure sili!!!!!
 
Ni kweli Mpwa haviendani na ndio maana nikasema nisamehewe nimeghafilika Sheikh wangu. Aaaaghh hizi picha nyingine hizi bhana ONA sasa nimeharibu saumu yangu
Mpwa kwaresma na haya mambo yanaendana kweli?
 
Ni kweli Mpwa haviendani na ndio maana nikasema nisamehewe nimeghafilika Sheikh wangu. Aaaaghh hizi picha nyingine hizi bhana ONA sasa nimeharibu saumu yangu

Mpwa usijali kwavile ulighafilika ushasamehewa, jicho halina pazia
 
Kaka iyo cio pombe adhani ni mitego tu.. Mjini apa ila iyo kitu ni noma.
 
Uko kama mimi aiseee, yaani demu mlevi au anayevuta sigara sijui hua namuonaje, mimi mwenyewe sinywi wala sivuti sasa nikumuona mtu tena mwanamke aahagahahaaa
me bwana demu kama mnywaji stimu sijui zinapoteleaga wapi...hata bure sili!!!!!
 
Uko kama mimi aiseee, yaani demu mlevi au anayevuta sigara sijui hua namuonaje, mimi mwenyewe sinywi wala sivuti sasa nikumuona mtu tena mwanamke aahagahahaaa

na mimi sinywi ndo maana.....ila honestly wanawake walevi ni easy go....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom