22652590 hiyo hapo fanya jamboWeka lipa No Acha janjajanja
Kua Pombe sio Chai.Kivipi bwashee ๐
huwa siingii pm una lolote tumalizane hapa.Sema kule kwa Pm hukujibu
Mbona nimesoma na sijaelewa au na mimi nimelewa ๐Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikawambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa ๐ช
Nikasema nitqpitia club hapo alipo,nilijibusti na pombe zangu ndio nimeshuka hapa , kapiga simu , namuulizia atume picha yake ,naona ananisunya๐๐ acha nilewe tu bwashee ๐
Nimelewa ndiyo ila siyo pombeUmelewa kama mimi๐
Mtandao gani huu, Sema nini tumsubiri Benfica kuna Ligi ya Portugal anaweza shinda ikawa shangwe humu๐22652590 hiyo hapo fanya jambo
Dada wa leo kumbe na wewe korofi๐pm bila hela ni mwandiko wa bata
Tigo,, naombea mkeka utiki msg iingieMtandao gani huu, Sema nini tumsubiri Benfica kuna Ligi ya Portugal anaweza shinda ikawa shangwe humu๐
Oa Acha uzinzi kijanaMajuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa ๐ช
Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa , kapiga simu , nikamwambia atume picha yake ,simkumbuki tena ,naona ananisunya๐๐ acha nilewe tu bwashee ๐