Huyu jamaa nilijiuliza labda ni mcheza mieleka, maana mikono na miguu vimejengeka vyema.cheki mkono wa jamaa,
Mwananyamala Ujiji Kuna jamaa yangu alipigwa vice ya mbao aliuguza shingo wiki 3.ni noma aisee nahisi lazima alimwaga mambo kwenye kaptula yake....cheki mkono wa jamaa, hiyo kule mwananyamala enzi zile inaitwa roba ya mbao.