Pombe ni nini? Nimechoka mimi

hahahahaaa!!! nakwambia nilipiga special exam yani kama supplementary!!

papuchi noma, kama ulevi wa gongo vile!... nashindwa kuacha charty...!!

hivi ni kwanini jamani?
hahahah excel wee swaiba ntafute nkupe dawa ya kuacha hii kitu maana kuna siku utapitiwa mpaka usahau kuacha interview!!:biggrin:
 

Cc: miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Dah Haijawahi kunitokea ninakuwa na limit ya kinywaji
 
ha ha ha mimi nakunywa sana pombe lakini hazijawahi kunifanya nikarukwa na akili na kufanya Mambo ya ajabu...Ila sasa Swala la Nyege..Yani nyege zikinijaa nakuwaga Mwehu kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…