Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,084
- 15,069
mmhh, kweli ulevi ni noma.
Mangi na bia lazima nyama choma bila hivyo mzee utaendelea kufanya zaidi ya hayo
Mkiambiwa mle mshibe ndio mnywe mnakomaa sasa madhara yake ndio hayo
na kweli aisee. Shikamoo bombe. Maana hata simu idondokee mule kwa toilet kuiopoa inakuwa inshu na nasamehe, sasa wewe lohhh. Shikamoo pombeSi kidogo
mnajisifu upuuzi, mambo km hayo kapost Facebook ndugu
na kweli aisee. Shikamoo bombe. Maana hata simu idondokee mule kwa toilet kuiopoa inakuwa inshu na nasamehe, sasa wewe lohhh. Shikamoo pombe
Namsaidia tu kijana yuko kwenye honeymoon
na kweli aisee. Shikamoo bombe. Maana hata simu idondokee mule kwa toilet kuiopoa inakuwa inshu na nasamehe, sasa wewe lohhh. Shikamoo pombe
situmii aina yoyote ya vilevi zaidi ya madawa ya hospitalini...
otherwise nikupe stori ya quinine ilichonifanya siku moja...
nakumbuka nilishalala kati kati ya barabara nilipozidiwa na dozi, kizunguzungu kilizidi... nikachapa usingizi na jua kali la saa nane mchana....
nb: excel hatumii kilevi chochote zaidi ya dawa za hospitalini...
sent from kanda maalum, tarime-KJ 324.
hahhahaha...Excel umeongopaa
kwanza niambie kwanini unanikimbia?
kwani mi ninayo kama ya mandingo au??
hahhahaha...Excel umeongopaa