Pombe mwanaharamu

Kwa mimi ambae sijawahi kunywa pombe, naomba niwaulize maswali mawili au matatu hivi,mosi kuna haina ngapi za pombe?,pili Kwanini watu utofautiana katika ulewaji?,tatu katika kulevya,kuna utofauti gani na dawa za kulevya,nne kwanini mwanamke ulendemka na kujiachia sana akilewa!!?,ni hayo tu.
 
Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau?

Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁

Cc: holoholo
Nomadix
Clarity is the cornerstone of strength.
Choosing what elevates your mind and body isn’t just discipline it’s a declaration of self-respect and purpose. True power comes from mastering yourself, not numbing the senses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…