Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
kunywa pombe kunarudisha maendeleo ya taifa nyuma??
sidhani kama kuna namna yoyote ya kumfanya kijana asinywe, ni decision yake mwenyewe, omba tu awe na hekima..mi wazazi wangu hata hawakuniambia kuhusu kunywa pombe, its a lesson nilijifunza mwenyewe, nilikunywa, nikapunguza hadi sasa sinywi pombe ya aina yoyote na ninamshukuru Mungu, somethings ni mtu kujifunza mwnywe,wangapi mliambiwa msinywe na bado mnakunywa hadi kulala?! unaweza ongea hadi kulia lkn mwishowe decision ni ya kijana mwenyewe
Kwani wewe unaonaje kwa hilo?
Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako
Mi nadhani watu wenye fikra za dizaini hizi ndo wanachangia kurudisha maendeleo ya taifa nyuma
Unadhani fikra hizo zinarudishaje nyuma maendeleo ya taifa?Mi nadhani watu wenye fikra za dizaini hizi ndo wanachangia kurudisha maendeleo ya taifa nyuma
Mkuu nawe unaonekana tatizo hili limekuadhiri kwa kuwa ili utafiti usiwe na shaka ni lazima uishi mazingira halisi ya unaowatafiti,upige vyombo kama wao!
Wanasiasa na siasa ndio hurudisha maendeleo ya taifa nyuma...Pombe hizi hizi ndo zinasababisha watoto wa wenye mamlaka za kisiasa kufanya kufuru!
Hapana ila ninakerwa na vijana wanakunywa pombe huku hali zao za kimaisha zikiwa duni sana na wengi wakiwa bado ni tegemezi.
Unadhani fikra hizo zinarudishaje nyuma maendeleo ya taifa?