Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Pombe inasababisha watt wa vigogo kufanya kufuru kivipi mkuu..??
Pombe na vinywaji hivi vikali walio kwenye mamlaka wanajua uingizwaji wake nchini na wakati mwingine wanatoa vibali wenyewe kama sio kumiliki biashara kabisa na kuchangia mapato....unadhani mkurugenzi wa say TBS akiongezewa mshahara kwa makusanyo bora bila kujali baadhi yanatoka kwenye bidhaa hatarishi watoto wake hawanufaiki? Si ni hawa hawa vijana wanatuharibia binti zetu kwenye night clubs? Si ni hawa hawa hawana heshima bara barani?