Pombe inanitesa mwenzenu!

Nimeupokea ushauri wako kwa mikono miwili na vidole kumi mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
m mpk nshaona ka inacheza na akili yangu,yaan nkiingia bar nkishatupia mbili wale wahudum wote ambao nlikua nmewaona kichefuchefu wkt naingia wanaanz kua kina Rihna,Beyonce na J lo,nmejarbu sana ku stop imeshnkana ila uzur tu m n mnywaj c mlevi
 
Subconscious Mind ambapo ndipo kila maamuzi yanapofanyika bila utashi wako huwa haijui SItaki na NAtaka..... kwa waliosoma NEUROLINGUISTIC PROGRAMMING wanajua jambo hili, yaani ukifanya hivi ulivyoseama ndio atakunywa mara 200 ya kawaida yake
 
Aisee umeongea huku unaumia wakati huohuo unacheka.....hukuwa unacheka wewe ni akili ya pombe.
Nachojua pombe haina dawa ila ni saikolojia treatment inahitajika....anza training ya kufanya vya muhimu zaidi kuliko pombe mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaa duh kiukwel nikinywa pombe nataka kwel niisikie nimelewa,
Ndo maana napenda kutokunywa peke yangu make nitaibiwa sana.
Uzur nimekua nimekubusy sana siwez kunywa mpaka jpil tu unakuta unafidi ya week nzima.
Siwez kunywa kati kat ya week make kunakuharibu kaz hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bhasi tunafanana mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Siwezi kulewa nusu nusuu bora nilalee tuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m mpk nshaona ka inacheza na akili yangu,yaan nkiingia bar nkishatupia mbili wale wahudum wote ambao nlikua nmewaona kichefuchefu wkt naingia wanaanz kua kina Rihna,Beyonce na J lo,nmejarbu sana ku stop imeshnkana ila uzur tu m n mnywaj c mlevi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ulevi umekuchosha Njoo kwa Yesu
Anakata kiu yote Asante
 

Kitendo chakugundua pombe ni tatizo kwako ni step ya kwanza trust me utaacha in no time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…