Pombe inanitesa mwenzenu!

Kabla hujalala, sema sitaki kunywa pombe mara 200. Na ukiamka sema hivyo hivyo kimoyo moyo mara 200. useme kwa hisia kali sana huku ukikumbuka madhara yaliyotokea, mademu wakali uliopoteza, masela walivyokudharau na mambo mengine mengi mabaya yaliyosababishwa na pombe. Na wakati unafanya hivyo uwe umekusudia kwa dhati kuacha.

Fanya hivyo kwa mwezi mmoja, utabadilika..kwani pombe utaichukia kuliko unavyomchukia shetani.
Usipobadilika, nna njia mbadala...




Satan
 
Yani ukimaliza kusema hayo maneno 200 unakuta koo limeshakauka balaa,inabidi kupiga funda 3 za bia ili kupooza koo kidogo mkuu.
 
Kuacha ni maamuzi yako tu. Kwani ulipoanza kunywa ulishauriwa na mtu???
 
Thanx brother from another mother!
 
Ipi mkuu?
 
Alcohol is the enemy of man, BUT,, a man who runs away from his enemies is a coward. Naamini umenipata
 


Inaelekea wewe una pepo tu, si mlevi kivile kwani kama ukitaka kuacha utaacha tu. Si unaona umekuja hapa na akili timamu na kuandika kitu ambacho kinaeleweka, hii ni dalili mojawapo kuwa wewe si mlevi ila muonjaji tu. Ushauri wangu kwako: Wacha uonjaji pombe utakulostisha.
 
Nikitaka kulewa huwa nabeba helaa ambayo najua hata ikiisha sitaumia rohoo... Lazima niwe na wanangu..Huwa naamka sijui simu ipo wala wallet ninaamka na Hangover tu..! Na nikinywa natakaga nilewee mpaka nkilala nkiamka sikumbuki ilikuwaje nkafika bed.... Ndo maana sio mlevi sana maana siwezi kulewa bila wanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…