Pombe inanitesa mwenzenu!

As long umedhamiria kuacha kutoka moyoni basi utaacha.Lkn pia ukipata mtu atakae kusaidia ktk hilo utafanikiwa ndugu.lkn pia nenda kwny maombi,Mungu hashindwi na jambo lolote.
Nilikuwa na boyfrnd wangu ambapo kbl ya kuwa na reltshp nae,alikuwa ni mlevi kuliko kawaida,kwa siku moja aliweza kumaliza cret moja la bia,mpk alianza kuwa mzee na sura kukongoroka,alishindwa kupiga hatua kimaisha ukilinganisha na umri wake(32 yrs),baada ya kuanza mahusiano nae nilianza kumsaidia ili aache pombe ,alionyesha dhamira ya kuacha na mwisho wa siku aliacha ingawa sio kitendo cha ghafla,ilichukua muda kdg lkn mwisho aliacha kbs.
 
Asante kwa ushauri
 
Mkuu ukitaka kuacha pombe anza kutokunywa bia ya kwanza pamoja na marafiki atleast utapunguza mi nililuwa napiga mtungi ila now days nimepunguza naweza kukaa hata miez miwili imekuwa ni just occasion ila sio sehemu ya maisha
 
Kwan huwa unakuwaga na Kampan au alone?, unakunywa bia gan?, Hapa nataka kujua ww ni mnywaj wa namna gan ili tujue nguvu tuwezeke wap kwenye kukushaur
 
pombe ipi.... ile ya magogoni au ya kilabuni?
 
Peke yako huwezi. Utakaa hata miezi 3 bila kunywa ila ukirudi unarudi kwa speed ya ajabu tena mara 2. Jibu ni Yesu Kristo tu aingie maishani mwako. Yeye ndiye suluhisho la hilo pepo lako. Nenda kanisa la kiroho uokoke tu. 30 yrs ni kijana mno kufukuzwa kazi kwa ajili ya pombe ni mbaya sana
 
Bila Shaka huyo jamaa yako alikuwa vzr maana mwanamke kumvumilia mwanaume naukaamua kumtreat mpaka akaacha pombe sio bureeee kabisa
 
Bila Shaka huyo jamaa yako alikuwa vzr maana mwanamke kumvumilia mwanaume naukaamua kumtreat mpaka akaacha pombe sio bureeee kabisa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alikuwa na mazuri yake kwa kweli pia nilimpenda sana. lkn shida alikuwa nazo zilizopelekea kuachana ! Ila up to date ananishukuru sn kw kuweza kumsaidia kuacha pombe
 
alikuwa na mazuri yake kwa kweli pia nilimpenda sana. lkn shida alikuwa nazo zilizopelekea kuachana ! Ila up to date ananishukuru sn kw kuweza kumsaidia kuacha pombe
Vizuri sana ila ningekuwa me ndio kama wewe ningemvuta nahuyu jamaa karibu yangu nikamtreat mpaka akaacha pombe yawezekana ndio Mungu kakuumbia hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…