Pombe inanitesa mwenzenu!

Pombe inanitesa mwenzenu!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wadau pombe imekua ikinitesa mda mrefu sasa,imenirudisha sana nyuma kimaendeleo,wanawake wananikimbia na wakati mwengine nashindwa hata kufanya kazi zangu pia network zinakata na najikuta natukana na kufanya mambo ya ajab ajabu,hua naacha kwa week 1 then narudi kwa kas ya 4G,naomba mdau yeyote aliewahi kuacha,aliyenaushauri au mwenye dawa ya kuacha hii mboyoyo anisaidie.Nahitaji msaada wenu wadau,dhihaka sio mahali pake! Ahsanten.
 
Utaacha ili mradi umeshakuwa na hamu ya kuiacha
 
Next time ukinywa pita jeshini halafu tukana kama unavyotukana siku zote, hiyo ndo itakuwa siku yako ya mwisho kunywa pombe, usisahau kuleta mrejesho. Mm nlitumia hii mbinu nikafanikiwa
 
Pole sana.
Kama ni mkristo nenda kwenye makanisa ya kiroho, yatakusaidia kuacha. Lakini pia kupanga ni kuchagua, ukiamua kuacha unaweza
 
IMG_4112.JPG



Karibu tuendelee kunywa acahana na uoga wa maisha mzee
 
Pole sana.
Kama ni mkristo nenda kwenye makanisa ya kiroho, yatakusaidia kuacha. Lakini pia kupanga ni kuchagua, ukiamua kuacha unaweza
Asante kwa ushaur
 
Back
Top Bottom