Tulitegemea iwe tamu kwa miaka walau 3. Lkn looh! Imeanza kuharibika mapema mno. Radha ya utendaji kazi wa JPM imeharibiwa na mambo matatu:-
- Bomoaboma inayoumiza wanyonge. Walipewa vibali halali na watendaji wa serikali ya chama chako. Lkn ni watendaji hao hao wanao amka alfajiri na mapema kubomoa nyumba hizo za wanyonge. Wakilia hawasikilizwi. Ni kilio cha samaki.
- Kuufyata kwa serikali ya JPM kwa wamiliki wa shule binafsi. Hawa wamiliki walipo tishia kutofungua shule zao kesho yake KATIBU wa wizara Sifuni Mchome akajichoma mwenyewe. Akayakanusha maandiko ya wizara yake mwenyewe kwa maneno rahisi ati yana nukuliwa vibaya. Lol! Sifuni acha hizo. Sema kweli tu kuwa mumeufyata. Chezea Bongo wewe!? Na hapo bado hamjaanza kuwaghasi wauza sembe. Mtaweza kweli?
- Ni Jana tu JPM alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa majibu makavu na nyodo utadhani wake wenza waliogombana. Kila MTU alibakia kinywa wazi akimshangaa JPM kuwa kaingiwa na uwendawazimu wa madaraka ama vipi?
Tuna wasiwasi kama Pombe hii itatufikisha mwisho wa sherehe. Imeanza kuchachuka mapema mno.
Mkuu ni mara ngapi tumeambiwa kuwa CCM ni ILE ILE!!!!!
Hakuna Jipya ndani ya CCM.

Mtaongea weeee na bado kihama kinakuja kwenu, kama uliishi kimazoea tutakukamua tu ..hizo porojo zenu hukoooo!
Tuliwaambia tulieni bado mapema mno acheni mapepe, lkn wapi hamkusikia, cha muhimu Mapambano yaendelee kudai Tanganyika yetu toka mikononi mwa wafaidhina

Basi pombe yako kunywa mwenyewe
Kuhusu shule, before kuweka bei elekezi, ni lazima kujua kila kitu kinachochangia cost ya kurun every school, serikali inasubsidize shule zake, nani anasubsidize za private???
Tulitegemea iwe tamu kwa miaka walau 3. Lkn looh! Imeanza kuharibika mapema mno. Radha ya utendaji kazi wa JPM imeharibiwa na mambo matatu:-
- Bomoaboma inayoumiza wanyonge. Walipewa vibali halali na watendaji wa serikali ya chama chako. Lkn ni watendaji hao hao wanao amka alfajiri na mapema kubomoa nyumba hizo za wanyonge. Wakilia hawasikilizwi. Ni kilio cha samaki.
- Kuufyata kwa serikali ya JPM kwa wamiliki wa shule binafsi. Hawa wamiliki walipo tishia kutofungua shule zao kesho yake KATIBU wa wizara Sifuni Mchome akajichoma mwenyewe. Akayakanusha maandiko ya wizara yake mwenyewe kwa maneno rahisi ati yana nukuliwa vibaya. Lol! Sifuni acha hizo. Sema kweli tu kuwa mumeufyata. Chezea Bongo wewe!? Na hapo bado hamjaanza kuwaghasi wauza sembe. Mtaweza kweli?
- Ni Jana tu JPM alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa majibu makavu na nyodo utadhani wake wenza waliogombana. Kila MTU alibakia kinywa wazi akimshangaa JPM kuwa kaingiwa na uwendawazimu wa madaraka ama vipi?
Tuna wasiwasi kama Pombe hii itatufikisha mwisho wa sherehe. Imeanza kuchachuka mapema mno.
zikifungwa utanufaika vipi mkuu?Wewe ni muongo hapo kwenye shule binafsi ninaeitetea Serikali kwa 100% tangu siku ya kwanza agizo lilivyotoka Serikali haikuwahi kuwaambia shule binafsi walipe ada kadhaa bali waliwakataza kuongeza ada kwa mwaka huu bila ya idhini ya Kamishna wa Elimu, na wala haikuwahi kutamka hayo unayoyasema ni kwamba ninyi kwa kuwa mnaishi kutafuta tu kasoro aidha kwa makusudi au kwa kutokuwa makini mkaelewa vingine lkn usijali, Serikali inakuja na ada elekezi kama ilivyosema kwa shule binafsi na wengi watazifunga!
Wewe ni muongo hapo kwenye shule binafsi ninaeitetea Serikali kwa 100% tangu siku ya kwanza agizo lilivyotoka Serikali haikuwahi kuwaambia shule binafsi walipe ada kadhaa bali waliwakataza kuongeza ada kwa mwaka huu bila ya idhini ya Kamishna wa Elimu, na wala haikuwahi kutamka hayo unayoyasema ni kwamba ninyi kwa kuwa mnaishi kutafuta tu kasoro aidha kwa makusudi au kwa kutokuwa makini mkaelewa vingine lkn usijali, Serikali inakuja na ada elekezi kama ilivyosema kwa shule binafsi na wengi watazifunga!
Katiba inaturuhusu kutoa maoni yetu mkuu. Nchi ni yetu sote
Tuliwaambia tulieni bado mapema mno acheni mapepe, lkn wapi hamkusikia, cha muhimu Mapambano yaendelee kudai Tanganyika yetu toka mikononi mwa wafaidhina
je, kwa hiyo katibu wa Wizara Sifuni Mchome alikula matapishi yake??????
hatukutegemea mtu kama Katibu wa Wizara anaweza kutoa kauli kisha akaja kuikanusha mwenyewe!!!!!
Ni aibu kwa Taifa letu ina maanisha Serikali inawaogopa Wafanyabiashara!!!! Je, tukisema kuwa shule binasfi ni za Viongozi Serikalini mtatukatalia????
Hiv inamana mtu ukiwa bavicha ndo unatokwa na akili kiasi hiki?Yaani sioni points zaidi ya mipasho na wivu wakike,rudini kwenu mtuachie nchi yetu mb.wa nyie