Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu

Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,048
Reaction score
61,369
Mistari hii yatoka sira 31

25.Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
Maana pombe imewaangamiza wengi.

26Tanuri hupima ugumu wa chuma,

na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.

27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.

Maisha yafaa nini bila pombe?

Imeumbwa iwafurahishe watu.

28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,

kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,

kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.

30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;

humdhoofisha na kumwongezea majeraha.

31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,

wala usimdharau anapofurahia karamu.

Usimwambie neno la kumwonya,

wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni.
 
dah nimeipenda hii ila kunasiku pombe ilitaka kunigeuza majivu
Kuna dada alakua rafiki yetu alibahatika kwenda norway alipo rudi akaja na pombe moja ina picha kama budha basi akatuambia tunywe kwa kipimo fulani kama kikombe chakahawa kimoja kinatosha mimi nikamimina kipimo nikanywa mwenzangu akachukua chupa akagida funda kadhaa nami nikaongeza kipimo asee mwenzangu alizima nami nilikua hoi najisikia joto ajabu jama mapombe mengine shkamoo
 
Hivi wakuu
Ni kweli huwa kuna dawa ya kunywa au kumeza ili kuacha pombe?
 
Mistari hii yatoka sira 31

25.Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
Maana pombe imewaangamiza wengi.

26Tanuri hupima ugumu wa chuma,

na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.

27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.

Maisha yafaa nini bila pombe?

Imeumbwa iwafurahishe watu.

28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,

kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,

kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.

30Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;

humdhoofisha na kumwongezea majeraha.

31Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,

wala usimdharau anapofurahia karamu.

Usimwambie neno la kumwonya,

wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni.
Wengine wanasema kunywa pombe ni kumwagilia moyo; sijuwi hii logic yake ni nini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom