Pombe bwana


manyike dede

manyike dede

Member
Joined
Jul 10, 2016
Messages
39
Likes
16
Points
15
Age
30
manyike dede

manyike dede

Member
Joined Jul 10, 2016
39 16 15
Raha ya pombe bwana ukisha lewa unakuwa baunsa kweli na unajiamn balaa.

Kuna siku nilipigwa na mabaunsa Wa chid benzi baada ya kucheza jukwaani wakati anatoa shoo. Nilipigwa hadi pombe iliisha .

Kuna siku nilikuwa mtenda bar ( mby) nilimunywa sana. Hadi ilifikia hatua tukawekeana dau atakaye maliza via 5 atalipiwa hizo bia na kupewa sh 30000. Na ukishindwa unalipia bia na unatoa 30000.

Castre lager, Castre milk, bia bingwa, safari na Kilimanjaro. Duuh sikuweza maliza nikaingiliwa kwa kulipa.. nililewa hadi nilizima. Naamka Mon Niko guest na Nina wabaamedi 3 na wote tuko uchi Wa mnyama. Kwa aibu nilijikaza nikawagonga wote na kukimbia

Pombe bhana naikubali sana
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
7,656
Likes
2,870
Points
280
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
7,656 2,870 280
Wewe ni Raia?
Makonda anakuja!
 
Hamis Juma

Hamis Juma

Verified Member
Joined
Nov 4, 2011
Messages
2,085
Likes
1,981
Points
280
Hamis Juma

Hamis Juma

Verified Member
Joined Nov 4, 2011
2,085 1,981 280
Endelea kuikubali
 
T

Think Hard

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Messages
318
Likes
302
Points
80
T

Think Hard

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2015
318 302 80
Hata uandishi wako nina wasi wasi na wewe..
 

Forum statistics

Threads 1,235,935
Members 474,901
Posts 29,240,907