Pombe:amtongoza shemejiye

Pombe:amtongoza shemejiye

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,706
Reaction score
6,941
Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma (pombe) sana tna mno mwanangu nkaja mchana kula c nkamtongoza..shem angu yan!kamwambia jamaa ake kamaind mbaya toka jana hansemesh,nkamwta nimuombe raz kakataa kuja kwa kgezo et 2mbo lamuuma wakat yuko t.o.d (zamu shuleni) na anakwenda kama kawa..kk ushaur wahtajka haraka coz hata misos twashea, 2kila 2nakuw kmya wote so nataka niache kula msoc niwe nakula vbandan2,ushaur wa haraka watakiwa kaka''.
Yeye ni mwajiriwa na ndoo kaenda kuanza maisha huko alikopangiwa ajira yake,
binafsi nimeshindwa kumpa ushauri nikaona nipitie hapa ambapo haliharibiki jambo,
tafadhali naomba msirushe mawe ,toa ushauri wa kujenga nn kifanyike ili maelewano mazuri yawepo,
ahsanten,
 
Hivo kweli pombe mwanzo wa upuuzi? mbona walevi wakion ajali wanaikwepa na wanakimbia? Usiiendekeze pombe utatongoza mpaka nduguzo kwa kusingizia pombe
 
Ulikuwa unammezea siku zote - Ukanywa pombe ili upate gia ya kuyaanza maasi yako. Uondoke hapo tafuta mahali pengine pa kuishi. Na uache kusingizia pombe kwa maanguko yako.
 
Blame it on a-aa-aa-alcohol...I love that Jamie Foxx/T Pain joint...am just sayin'!
 
Ulikuwa unammezea siku zote - Ukanywa pombe ili upate gia ya kuyaanza maasi yako. Uondoke hapo tafuta mahali pengine pa kuishi. Na uache kusingizia pombe kwa maanguko yako.
Huu ndiyo ukweli.
Huyu jamaa alitaka kutumia pombe kama sababu ili mambo yakiharibika aseme, pombe ndiyo imesababisha.
Kwa mfano huyo shemeji yake angekubali na akasema watalizungumzia vizuri siku nyingine akiwa fiti,je angekuja hapa jamvini kuomba ushauri mapema hivi, au angegegeda kwanza ndiyo aje atuambie ameshakula kitu, anaomba ushauri kama aendelee au aache?Kicheche utamjua tu.
 
Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma (pombe) sana tna mno mwanangu nkaja mchana kula c nkamtongoza..shem angu yan!kamwambia jamaa ake kamaind mbaya toka jana hansemesh,nkamwta nimuombe raz kakataa kuja kwa kgezo et 2mbo lamuuma wakat yuko t.o.d (zamu shuleni) na anakwenda kama kawa..kk ushaur wahtajka haraka coz hata misos twashea, 2kila 2nakuw kmya wote so nataka niache kula msoc niwe nakula vbandan2,ushaur wa haraka watakiwa kaka''.
Yeye ni mwajiriwa na ndoo kaenda kuanza maisha huko alikopangiwa ajira yake,
binafsi nimeshindwa kumpa ushauri nikaona nipitie hapa ambapo haliharibiki jambo,
tafadhali naomba msirushe mawe ,toa ushauri wa kujenga nn kifanyike ili maelewano mazuri yawepo,
ahsanten,

Ulevi noma
 
Hivo kweli pombe mwanzo wa upuuzi? mbona walevi wakion ajali wanaikwepa na wanakimbia? Usiiendekeze pombe utatongoza mpaka nduguzo kwa kusingizia pombe

'lwhat hapened has happen'',
ushauri?
 
Ulikuwa unammezea siku zote - Ukanywa pombe ili upate gia ya kuyaanza maasi yako. Uondoke hapo tafuta mahali pengine pa kuishi. Na uache kusingizia pombe kwa maanguko yako.
just spare me,
it is not me
,
ur advice please?
 
Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma (pombe) sana tna mno mwanangu nkaja mchana kula c nkamtongoza..shem angu yan!kamwambia jamaa ake kamaind mbaya toka jana hansemesh,nkamwta nimuombe raz kakataa kuja kwa kgezo et 2mbo lamuuma wakat yuko t.o.d (zamu shuleni) na anakwenda kama kawa..kk ushaur wahtajka haraka coz hata misos twashea, 2kila 2nakuw kmya wote so nataka niache kula msoc niwe nakula vbandan2,ushaur wa haraka watakiwa kaka''.
Yeye ni mwajiriwa na ndoo kaenda kuanza maisha huko alikopangiwa ajira yake,
binafsi nimeshindwa kumpa ushauri nikaona nipitie hapa ambapo haliharibiki jambo,
tafadhali naomba msirushe mawe ,toa ushauri wa kujenga nn kifanyike ili maelewano mazuri yawepo,
ahsanten,

Ndiomaaana dini nyingine zina tahadharisha m2 asionje hata tone
 
just spare me,
it is not me
,
ur advice please?

Hujaona sentensi mbili za mwisho kwamba ni ushauri? Nazirudia tena "Uondoke hapo tafuta mahali pengine pa kuishi. Na uache kusingizia pombe kwa maanguko yako"
 
Huo ushakuwa msala tayari, akomae tu na kisingizio cha pombe kuua soo.
 
Hio pombe itakua nzuri sana hio....yaani ukiinywa unapata uwezo wa kutongoza wake za watyu??? Basi ipelekewe bungeni ili wale waliotaka kianzishwe chuo cha Kutongozea wapate mbadala wake, tu-invest kwenye pombe kuliko kujenga vyuo vya kutongozea...manonaje jamani hili wazo?
 
Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma (pombe) sana tna mno mwanangu nkaja mchana kula c nkamtongoza..shem angu yan!kamwambia jamaa ake kamaind mbaya toka jana hansemesh,nkamwta nimuombe raz kakataa kuja kwa kgezo et 2mbo lamuuma wakat yuko t.o.d (zamu shuleni) na anakwenda kama kawa..kk ushaur wahtajka haraka coz hata misos twashea, 2kila 2nakuw kmya wote so nataka niache kula msoc niwe nakula vbandan2,ushaur wa haraka watakiwa kaka''.
Yeye ni mwajiriwa na ndoo kaenda kuanza maisha huko alikopangiwa ajira yake,
binafsi nimeshindwa kumpa ushauri nikaona nipitie hapa ambapo haliharibiki jambo,
tafadhali naomba msirushe mawe ,toa ushauri wa kujenga nn kifanyike ili maelewano mazuri yawepo,
ahsanten,

kama hataki kuongea naye basi amuandikie barua au amtext kwenye cm then aondoke pale akatafute mahali pengine pa kukaa
 
Jamaa yako mjinga kwani alikuwa na akili tupu na alijifanya kaondoa aibu
Sasa anywe tena na kujifanya sindano ishonayo bila uzi WATAJAMTUNGA UZI HUKO NYUMA ndio aelewe Mke wa mtyu ni SUMU
 
huyo jamaa alikuwa na dhamira asisingizie pombe cha msingi ni yeye kujikataa hapo kimeshanuka.
 
Back
Top Bottom