Polygamy for women

Huyu tayari anao wengi ila na anataka kuwadanganya wenzake waingie kwenye mtego huo. Si awatafute hata kumi kama atawapata!!!!!
 
hajakutana na wanaume huyu, wenzake wana mmoja na wanalalamika kwa kichapo. sembuse wanne?
 
Huo ni uchafu yaani katoka kupiwa kupumbu hapo kanyunyiziwa manii za kutosha anakuja mwengine naye ananyunyizia mamanii humohumol duh anakuja na mwengine au watakuwa wanamla mtungo mwengine mdomoni mwengine kwenye tiqo mwengine kwenye kitundu kitamu duh hii kitu haiwezekani kabisaaaa.......

kama ni uchafu basi ma-changu wasingekuwepo! Mwandishihuyu anajaribu kuwasilisha hisia wanzokuwanazo wanawake kwenye suala zima la polygamy; Binafis nachukuliaa kuwa ni unyanyasaji
 
hajakutana na wanaume huyu, wenzake wana mmoja na wanalalamika kwa kichapo. sembuse wanne?
Ni mawazo yangu tuu kulingana na jamii ilivyo kwa sasa, kwa kweli you are not so many who can manage the ka game in this centuary! na ndo maana siku hizi wakina mama wameamua kuchukua viserengeti boyz! maana unakuta baba hamtoshelezi mama, hapo hapo ana small house! hivi kweli kuna mwanaume hapa?why not question your self.
 
Nimeipenda hii, ni nzuri sana. Lakini nina tatizo; Katika "classification" animal kingdom kwa ujumla kuna MONOGAMY, POLYGAMY na !!!!! lakini polyandry (polygamy in which a woman has more than one husband) ipo kwa jamii moja tu ya ndege wanaopatikana Latin America tu sasa sijui iwapo mtazamo huo kama utakubalika.
 
lakini polyandry (polygamy in which a woman has more than one husband) ipo kwa jamii moja tu ya ndege wanaopatikana Latin America tu sasa sijui iwapo mtazamo huo kama utakubalika.

Hapo hapo!

IPO! so she can have as many as she wants! teh teh teh!
 
kama ni uchafu basi ma-changu wasingekuwepo! Mwandishihuyu anajaribu kuwasilisha hisia wanzokuwanazo wanawake kwenye suala zima la polygamy; Binafis nachukuliaa kuwa ni unyanyasaji

Mkuu Maskini-Jeuri,

Wenzako hawataki kusikia hii kitu kabisa lakini huyu mama an point to make hapa. Kwa nini ni halali mwanamume kuwa na wake wengi lakini si halali mwanamke kuwa na waume wengi? Huyu anataka tu hiyo ihalalishwe lakini otherwise wanawake walio wengi wana waume zaidi ya mmoja (Mahawara) lakini wanafanya kwa siri!!!!!

Anapashwa aungwe mkono huyu na sio kutolewa maneno ya kejeli ati!!!

Tiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom