YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Ukisoma ujerumani lazima dish liyumbe.Germans are liberals na huhoji kila kitu ndio maana viongozi wa dini wakiosomea ujerumani wa kanisa lolote lile liwe lutheram,Catholic,nk wako so liberal na huhoji Sana SI mambo ya kanisa tu Hadi ya Mungu.Huko ndiko wametokea wabishi Akina Martin luther na huyo Hans Kung na ndiko alitokea papa Benedict ambaye kanisa Katoliki liliamua limuweke pembeni wampe papa Francis wa sasa baada ya kuona huyo papa mjerumani analipeleka kanisa Katoliki ndiko sikoNamfahamu padri Cyprian Tirumanywa. Nikienda Mwanza huwa napenda nionane naye na kubadilishana mawazo. Nadhani alifundishwa na Prof Hans Kung wakati akisoma huko Ujerumani maana 'teolojia' yake kuhusu 'pope infallibility au 'authority in the Catholic Church' inafanana na ya Prof Kung, ambaye pia alijikuta akiingia matatani na Kanisa Katoliki na hivyo kuzuiwa kufundisha 'teolojia' kwenye vyuo vya Kanisa Katoliki. Pia mtazamo au msimamo wa Prof Kung kuhusu euthanasia unapingana na wa Kanisa Katoliki. Nje ya haya, wote Prof Kung na Fr Tirumanywa ni 'great thinkers'.