Hivi kwa nini sehemu yoyote waliopo waislam panafukuta moshi ?
mkuu, naona wewe unaendeleza zile sanaa zilizokataliwa na watz wengi. tittle yako wala haijafanana na ulichoandika. huo ni uchochezi unaofanywa na watu wasiolitakia mema taifa hili kwa kuwazulia uongo waislam na kuwatengenezea cd za kizushi. alianza mbunge selasini akaja lema na sasa hizo ulizosema
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?
mkuu, naona wewe unaendeleza zile sanaa zilizokataliwa na watz wengi. tittle yako wala haijafanana na ulichoandika. huo ni uchochezi unaofanywa na watu wasiolitakia mema taifa hili kwa kuwazulia uongo waislam na kuwatengenezea cd za kizushi. alianza mbunge selasini akaja lema na sasa hizo ulizosema
mkuu, naona wewe unaendeleza zile sanaa zilizokataliwa na watz wengi. tittle yako wala haijafanana na ulichoandika. huo ni uchochezi unaofanywa na watu wasiolitakia mema taifa hili kwa kuwazulia uongo waislam na kuwatengenezea cd za kizushi. alianza mbunge selasini akaja lema na sasa hizo ulizosema
Mkuu, post yako ina
reflect elimu ya madrasa; Tafadhali usilete utani na mizaha kwenye issue
inayohusiana na kusitisha uhai wa mwenzako; usitufanye vipofu, ina
maana CD za shehe Ilunga zimetengenezwa ? Mnashindwa nini kumkamata
huyo aliye zitengeneza na sheria kuchukua mkondo wake ? Je
amezitengeneza kwa faida gani ? Jiulize kwa nini Waislam duniani kote
ni problem ? Kwa nini kila sehemu mlipo lazima moto uwake ?.
umesoma chanzo cha hiyo habari au umekurupuka.?
mkuu, hapa hatuzungumzii madrassa wala mafundisho ya kipaimara. tunazungumzia uchochezi unaofanywa kwa makusudi na hawa watu ambao kila kukicha huzua mambo kuwa uislam ndo tatizo. ni ubinafsi ulioje huo. kwa nchi changamano kama tanzania hakuna uhalali wala sababu ya mtu kujiona ni bora kutokana na dini yake. hizo chokochoko mnazozianza madhara yake ni makubwa. hakuna dini yenye haki miliki ya kutawala tanzania milele
Na wewe akili finyu. Ni
mada gani au title gani nimeleta. Kawapigie simu editors wa gazeti la
KIU YA JIBU namba zao zifuatazo:
+255783212440
+255767212440
+255713212440
chanzo cha hiyo story ni mlengo uleule wa wachochezi wa kidini. wanajiona wao ni bora zaidi kuliko wengine
Mmeanza kuandika na
kulalamaa hata ninyi ? Tatizo mko biased sanaaa na nchi hii...mnajiona
kama ninyi ndio mnaotakiwa kula keki ya Taifa peke yenu...
Mkiambiwa huo mkataba wenu na serikali ( MOU ) ni tatizo kwa amani ya
Nchi mnajidai ni wataalamu wa matamko..
sure mkuu. nyani haoni kundule. wanashindwa kutoa maboriti yaliyomo kwenye mboni za macho yao, wanahangaika kuwatoa vibanzi wenzao
kwahiyo ccm ni dini gani sasa maana imetawala tanzania kwa miaka 50
ccm inaendelea kuungwa mkono na hivyo kutawala kwa muda mrefu kwa sababu haina sera za kibaguzi