Poll:Unaridhika na Utendaji wa Serikali ya Magufuli?!

Poll:Unaridhika na Utendaji wa Serikali ya Magufuli?!

Katuni ya jana ya Kipanya ni jibu tosha la utendaji wa serikaliii hii
 
Shèria zipo ila atumie busara katika kutekeleza hizo sheria
 
Hapana, kwanza arudishe nyumba za serikali alizoziuza alipokuwa Waziri, kisha wawekwe wananachi wanyonge anaowavunjia nyumba zao na kuteseka kwa kukosa vyoo na sehemu ya kujisitiri
 
Namkubali maana ameanza vizuri kwa kupambana na rushwa, rushwa ni mdudu mbaya sana kwa issue ya ECONOMIC DEVELOPMENT/MAENDELEO YA KIUCHUMI, maana tumebaki kusikia ECONOMIC GROWTH/UKUAJI WA UCHUMI ambavyo vimebaki kwa makaratasi tu!, akisimamia rasilimali zinazopatikana tutapata mabadiliko makubwa.
 
Ati nini?
huku kuwateua mafisadi wa ESCROW ndio kupambana?
Duh!
 
hahahaa JF bana hata uchaguzi mkuu kura zilipigwa hivihivi hapana zilikuwa kibao but wananchi 58% wakamuweka Magu madarakani...
 
Back
Top Bottom