Tena ni shogaSafi sana I don't like Obama!
Obama kwa kweli anapewa a smear cmpaign. Na tatizo la wazungu ni hilo maana ni mwafrika. Akifanya jambo jema anapata sifa chungu zima. Akitenda ovyo mpaka historia yake inakuwa traced kuwa babake ni mkenya na alitoka kenya (yaani ni mwafrika). Kuna mambo mengi mbovu zilzofanywa na uongozi wa Bush Obama amejaribu kurekebisha. lakini tuzingatie tuone mpaka kwenye primaries
Halafu watu wanazungumzia rangi Bush aliyeshika nafasi ya mwisho nae ana asili ya nchi gani ya Afrika, hii sikwa sababu ya Obama mwafrika bali Obama Muamerika aliye na uongozi dhaifu! ni kama hapa nyumbani watu wakisema JK dhaifu kuna wadau wanasema eti anasakamwa kwa dini yake! I like American, when they want to call a spade they call it by its name! yes call a spade a spade!
Kila rais wa Marekani huwa anakosolewa vibaya sana. Sasa kwa nini kila akikosolewa Obama watu mnakimbilia kusema ni kwa sababu ya rangi yake?
Sasa uchumi wa Marekani haufanyi vizuri. Ingawa Obama alirithi toka kwa Bush, hiyo haina maana kwamba watu wakimlaumu Obama basi ni kwa sababu ya rangi yake.
Na mimi nimeshatabiri humu kuwa Obama akishindwa uchaguzi wa November watu mtalia ni kwa sababu ya ubaguzi tu na si kingine. Ila cha kushangaza aliposhinda uchaguzi wa 2008 tuhuma za ubaguzi dhidi ya wazungu sikuzisikia sana.
Halafu nashangaa hata huo uchaguzi wa 2008 alishindaje hususan kwenye majimbo kama Indiana, Iowa, Minnesota, Illinois, Wisconsin, North Carolina na mengineyo kama kweli hao wazungu ni wabaguzi kiasi hicho. Inashangaza sana.
*Halafu unazungumzia primaries gani wewe?*
Amekwisha. nini zaidi? Ubaguzi? Uchumi? au?
Obama kwa kweli anapewa a smear cmpaign. Na tatizo la wazungu ni hilo maana ni mwafrika. Akifanya jambo jema anapata sifa chungu zima. Akitenda ovyo mpaka historia yake inakuwa traced kuwa babake ni mkenya na alitoka kenya (yaani ni mwafrika). Kuna mambo mengi mbovu zilzofanywa na uongozi wa Bush Obama amejaribu kurekebisha. lakini tuzingatie tuone mpaka kwenye primaries
maskini mkukuyu wa watu!