Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili.
Chagua msanii unayemkubali kisha vote.
Team zote mbili karibuni sana
Created by:
MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)[/QUOTE
Kwani ni nani kati yao Mwenye tuzo nyingi za kitaifa na kimataifa?hope diamond ni zaidi,otherwise cjui mnaangalia vigezo vipi