Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Hivi Lowassa analipa kiasi gani cha kodi kwa mimali yote aliyo nayo Tanzania? Jeetu Patel analipa kiasi gani cha kodi? Manji, Rostum, na orodha ni ndefu tu hawa wanalipa kiasi gani cha kodi?
Wakacheze hiyo Golf huko Delta ndipo tutajua kweli huko hakuna hiyo HATE...Hizi picha kama zingekuwa zimelenga Utalii na kuonyesha jinsi wazungu wanavyokuja cheza Golf (mvuto wa golf ktk Utalii)..hapo ingekuwa deal lakini kujipumzisha baada ya wizi..huku hao oil executive waki enjoy their tax free status, delta watu wanalipua pipe kwa ajili hela ya mafuta haileti maendeleo. nigeria ni nchi inayoongoza kwa ku-kidnap oil workers duniani.
na hao oil workers wakienda nigeria wanasema nigeria ni high risk kwa hiyo wana demand high pay ambayo licha ya kuwa juu kulikoni other oil producing countries pia ni tax free.
hiyo oil inawafaidisha wachache
Mkuu Ubuja hakuna mafuta... Ni mji uliojengwa kama Dodoma kwa ajili ya makao makuu na nilivyosiikia idea hiyo mwalimu aliitoa kwao.
Si ajabu hao ngozi ya **** unaowaona hapo wakicheza ni wabunge, lakini wengine wote ni wabeba mizigo..Na kibaya zaidi moja ya picha yako inaonyesha wazungu wakipata kinywaji Miafrika ikitazama kwa uchu, hakuna karibu hapo!
By the way tujikumbushe tu na ukweli bayana kuhusu Nigeria, kisha wapime nasi...(mbingu na ardhi)
1. Nigeria is ranked 37th in the world in terms of GDP (PPP) as of 2007.
2.Nigeria is the United States' largest trading partner in sub-Saharan Africa and supplies a fifth of its oil (11% of oil imports). It has the seventh-largest trade surplus with the U.S. of any country worldwide.
3. Nigeria is currently the 50th-largest export market for U.S. goods and the 14th-largest exporter of goods to the U.S.
4. The United States is the country's largest foreign investor.The bulk of economic activity is centred in 4 main cities: Lagos, Kaduna, Port Harcourt, and Abuja. Beyond these three economic centers, development is marginal
Noooooooooooooooo!!!! Pole sana. Nchi inajiendesha kwa kutoza kodi. Wafanyabiashara wakifilisika serikali itapata wapi kodi ya kuiendesha? Mawazo potofu kabisa. Hayafai. Pole sanaLazima iwepo punitive taxation system,I forget the technical name for it. Makampuni lazima yatozwe kodi mpaka mengine yaanze kufilisika,kwa ajili ya kodi,na yafunge kazi,ili Serkali iweze kufahamu kwamba kodi zinatozwa ambazo ni kwa faida ya wananchi.