Lema: Tumechanganyikiwa kwa sababu mzee Ndesamburo alikuwa mtu muhimu sana katika chama na mabadiliko ya taifa hili, ni watu wa kwanza sana waliojitokeza kupigania struggle katika taifa hili. Kwa hio hapa tulipo hatuwezi kusema zaidi.
Jafary Michael: Tumepokea msiba huu kwa mstuko mkubwa sana, tunawapa pole sana wananchi wa jimbo la Moshi mjini ambalo ametumikia kwa muda mrefu.