2020 BM for presidency.Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na kuishiwa hoja....
Membe has done his part... Successfully... I can bet very successful.... Ameteka mitandao ya kijamii.. Anaongelewa yeye tu kwa mazuri, kwa mabaya... Kwa kusifiwa.... Nk.. Lakini yuko live.. On air....,!!!
The old man is gaining grounds... He is making it.... Very strategic but also an opportunist... But just don't care...
Furaha yake ameiteka hadhira, kamzidi ujanja na maarifa... Kafanikiwa kutengeneza mgogoro wa kufikirika kichama, ambao ni gumzo kimataifa... Kwa gharama ndogo mno....
Here he goes... Hadhira inamuunga mkono japo hatoshi... Mjanja aliyesoma alama za nyakati
Mafao na kikotoo kipya ,25% ,1/582,,,,Tunataka fao la kujitoa hayo mambo ya 33.3% pelekeni huko juu wenye mshahara wa mamilioni mawaziri/pm/cd/rc na pension ya wazee kama awali 50%.Wanajuana hao. Hizi ni sarakasi.
Tusitoke kwenye reli.
CCM ni ya milele
Wahuni hawa wakati wa mashoga walifanya hayo hayo tumesha wazoea wadhungu
Bavicha magoti ovyoooooooChochea kuniiiiiii bado bado bado
Membe membe membe
Konk konk konk master
Kajipanga mitandaoni... Very strategic.... Katumia 'vampires teams'... The rival kawekeza kwenye gazeti moja tu akimtumia mtu mmoja tu ambaye hatoshi... Na backup ya mitandao iliyochoka na kuishiwa hoja....