Mwana ngoja nikupe majibu sahii, CCP ni Chuo Cha Polisi, na interview ni general kama ulivyoambiwa na wana JF, tell us about urself, how do u think u as a police U can help people in community? Na ni machache tu then sehemu ya pili ni kucheck ur health i.e HIV, na magonjwa mengine ya zinaa kwa akina dada kuna kupima afya including pregnance na tatoo.
Sure CCP ni MUHIMU no way na ni 6months. Nina uthibitisho pekeyangu na niliwaambia apa nilipotoka kwene interview kama mnakumbuka.
CHUKUA CHAKO POTEA, Teheee teheee jamani te he!
Wadau..yote tisa kumi..kaka alienda interview na amepita vyote plus afya (hopefully!)...
swali kubwa ambalo linamtatiza ni je, malipo ya polisi ni kiasi gani kwa mtu mwenye degree? maana waliuliza wakaambia ni level ya mtu wa degree..mara ooh malipo ni mazuri..wasiwasi wake aijekuwa anaingia choo cha kike! anapofanya kazi analipwa 700k ivi gross...na anataka kuandika barua ya kuacha kazi..is it really worth it? wenyewe wanakua wasiri sana lakini in as much as ndiyo ni kazi anayoipend inategemea na hzo ndio kaz za kuanzia but am sure wanalpwa ngaz ya digr.
hongera. Vaa casual. Chomekea . Suruali viatu na shati la mchina. Simu ya laini tatu then weka rington ya kali p
[
Niliambiwa kuna mashindano ya kukimbia, hilo sidhani kama ni tatizo kwake...UMITASHUMTA na UMISETA vilikuwa vitu vyake...!!!(oh..how I miss those good old days...)