JESHI la Polisi nchini, limeunda kikosi kazi chenye lengo la kuhakikisha bandari ya Dar es Salaam inakuwa salama kwa kuondoa ubadhirifu. (chanzo ni gazeti la mtanzania daima)
NAULIZA ;
1. kwani huo wizi, ubadhirifu nk, umeanza leo.....? mlikuwa wapi
2. baada ya kushikwa polisi wenzenu ndo mnajifanya kuzinduka ... yuko wapi polosi muadilifu........?