Kuchunguza nani anamtukana mtukufuNini kazi ya TCRA?
Si ujitoe kama unaona wanamambo ya kijinga?Ni vizuri, Kwani kuna groups nyingi za kijinga Sana sheria ifuate mkondo wake
True, you can control newspapers but u will never control comm,s via Internet - never. Communication Technology changes every day.It's so hard to control the technology
Hii serikali wageuze tu nchi iwe ya kidini sasa maana kipindi hiki yaani hawafanyi kitu bila kuleta viongozi wa dini mbele. Inaboa kinoma. Danganya toto
kiongozi atahusikaWatatufanya nini tusipotoa taarifa sasa...!!??
Yaani end to end encryption kama sort of VPN link..it is very difficult for a third party to go through ithajui kuna end to end encryption
Naona system going down mzee ahahahahhha washauri baba ila wajiandae kurudi tena kama kauli ya kufungia daladala za kwenda kariakoo then zimerudi tena mkuu umenifurahisha sana ahahahaha anaejua kaz yupo nyumban asiejua yupo ofisi za serikaliHili ni gumu kufanyika, kitu kinachoweza kufanyika labda ni kuifungia hii whazup isitumike hapa nchini; Hii ni kuwaambia Internet Service Provides (ISP) kufunga ports za hii whatup kwenye firewall servers zao.
Hii haichuki hata dakika 10 whatup inakuwa down completely. Port za kufunga ni TCP 443 (HTTPS) TCP 80 (HTTP). Kama sauti inatumika kwenye Whazup basi ports za kufunga pia ni 4244, 5222, 5223, 5228 na 5242
Ingawa inawezekana WhatsApp ikawa inatumia ports nyingine zaidi ya hizi. ila uwe makini wakati wa kufunga maana port zingine zinatumika kwenye application nyingine muhimu kama hii TCP 443 https na TCP 80 http.
Je ni lazima tufike huko? mimi naona waache wananchi waendelee kubadilishana mawazo kupitia group hizi, ni vigumu mno kwa dunia ya leo kumzuia mtu asipate mawasiliano.