Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

Naona hata mzee wake haongei tena na vyombo vya habari baada ya kukutana na Mbowe.

Dogo anaona soo kuibuka kutoka chimbo na yule mwanasheria mkurupuko naye aliingizwa mkenge sijui anajisikiaje?
 
Ninachofurahia serikali hii haitaki unafki wa ukada...Wewe piga poyoyo zako sana ukitegemea kupata uteuzi wowote kutoka kwa mkulu kama ilivyokuwa enzi za baba Riz matokeo yake unatumbuliwa chap unakosa mahali hata pa kuficha uso wako....
 
Nauliza kwa maana ni muda sasa kimya sijasikia kutoka upande wa chadema, ni kuhusu Mwanachadema Saanane ambaye Tundu lisu alituambia kwamba Serikali yetu imemteka na inamshikiria huku ikimtesa na akionyesha viambatanisho kwenye simu kama ushahidi! Hivi bado chadema mnamtafuta au kesha onekana?

Au ndo mmesitisha utafutaji na kuhitimisha kwamba ameshafariki? Na anaweza kufariki/kupotea na chadema kulichukuwa jambo hilo kirahisi rahisi, hivyo? Midomo ya chadema itakuwa imepatwa na nini?
Nasikitika kusema hii ni moja ya thread za kipumbavu kweli kweli. Maisha ya mtu tena tunayemfahamu kama mwenzetu hapa JF na tumekuwa tukishirikiana naye kwa mijadala na majibishano yako hatarini na suala linashughulikiwa na Polisi sisi tunaleta kebehi kama watoto wa chekechea wasio jielewa?
Inasikitisha sana, tena ukiona watu kama Lizaboni ambao ni wakongwe bado nao wanashirikiana na haya mapashkuna kukebehi maisha ya mtu.
Kwani tunavyo pambana humu kwa mawazo tofauti ni uadui unaopelekea kuombeana kifo au kutokujali maisha ya wengine? Tujue kuwa Ben kama verfied user anao ndugu na jamaa humu JF, jee wanajisikiaje na thread kama hizi?
 
tapatalk_jpeg_1483721858562.jpg
 
HONGERA KWA KUTETEA MASILAHI YA CHAMA CHAKO.
Ngoja ss wanaharakati tutee masilahi ya nchi na wananchi wake japo malaika wenu mkuu kakataza siasa

SSM NDIYO IMEIFANYA HII NCHI KUWA MASKINI SANA LKN LEO WANAJISIFIA KM NDIYO INASHIKA UONGOZI KWA MARA YA KWANZA
 
Nasikitika kusema hii ni moja ya thread za kipumbavu kweli kweli. Maisha ya mtu tena tunayemfahamu kama mwenzetu hapa JF na tumekuwa tukishirikiana naye kwa mijadala na majibishano yako hatarini na suala linashughulikiwa na Polisi sisi tunaleta kebehi kama watoto wa chekechea wasio jielewa?
Inasikitisha sana, tena ukiona watu kama Lizaboni ambao ni wakongwe bado nao wanashirikiana na haya mapashkuna kukebehi maisha ya mtu.
Kwani tunavyo pambana humu kwa mawazo tofauti ni uadui unaopelekea kuombeana kifo au kutokujali maisha ya wengine? Tujue kuwa Ben kama verfied user anao ndugu na jamaa humu JF, jee wanajisikiaje na thread kama hizi?
Jibu swali acha kulalamika
 
Naona hata mzee wake haongei tena na vyombo vya habari baada ya kukutana na Mbowe.

Dogo anaona soo kuibuka kutoka chimbo na yule mwanasheria mkurupuko naye aliingizwa mkenge sijui anajisikiaje?
Kwahiyo Mwigulu ametoa taarifa kua ndie anae au 7bodies ...loading...Ruvu
 
Naona hata mzee wake haongei tena na vyombo vya habari baada ya kukutana na Mbowe.

Dogo anaona soo kuibuka kutoka chimbo na yule mwanasheria mkurupuko naye aliingizwa mkenge sijui anajisikiaje?
Awe makini asiwe anaiga kuwa msukule. Wazee wa Gamboshi watapita nae kama wananawa vile
 
Barbarosa una utu kweli wewe?Nina wasiwasi kama umepata malezi ya wazazi wako.Unadiriki kudhihaki kupotea kwa binadamu mwenzio.Tafakari acha kebehi na dharau kuhusu uhai wa mtu.Mungu yupo anakutazama na kukusikia.
 
Nasikitika kusema hii ni moja ya thread za kipumbavu kweli kweli. Maisha ya mtu tena tunayemfahamu kama mwenzetu hapa JF na tumekuwa tukishirikiana naye kwa mijadala na majibishano yako hatarini na suala linashughulikiwa na Polisi sisi tunaleta kebehi kama watoto wa chekechea wasio jielewa?
Inasikitisha sana, tena ukiona watu kama Lizaboni ambao ni wakongwe bado nao wanashirikiana na haya mapashkuna kukebehi maisha ya mtu.
Kwani tunavyo pambana humu kwa mawazo tofauti ni uadui unaopelekea kuombeana kifo au kutokujali maisha ya wengine? Tujue kuwa Ben kama verfied user anao ndugu na jamaa humu JF, jee wanajisikiaje na thread kama hizi?
Ninakuunga mkono kwa hili. Watanzania wengine ubinadamu hawana kabisa. Huyu mleta thread ni mmoja wao.
 
Back
Top Bottom