Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hii Taarifa utadhani mwenyekiti wa kijiji anazungumza na wanakijiji, haipo kitaalamu kabisaPolisi yatoa tamko miili 7 na kutoweka kwa Sanane
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya JInai Kamishna wa Polisi Robert Boaz, amesema jeshi hilo bado halijawatambua marehemu hao, huku akitetea uamuzi wa jeshi hilo kuzika haraka miili ya marehemu 6 kati ya 7.
"Hatua zote za kitaalam zilifuatwa na tunaendelea kufanya upelelezi unaolenga kuwatambua marehemu hao na kujua ni jambo gani liliwasibu, tunawasihi wananchi kuendelea kutupa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao" Amesema Boaz
Akielezea jinsi jeshi hilo lilivyopata taarifa, amesema jeshi hilo lilipata taarifa za kuelea kwa maiti 7 katika mto Ruvu eneo la Mkuruge wilayani Bagamoyo kati ya tarehe 6/12/2016 hadi 9/12/2016 ambapo askari na daktari walifika katika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa kitaalam.
Amesema miili 6 kati ya 7 ilikuwa imeharibika sana na ndiyo maana iliamuliwa zizikwe katika eneo la tukio wakati moja yenye unafuu ikipelekwa hospitali ya wilaya ya Bagamoyo hadi tarehe 16/12/2016 ilipozikwa na halmashauri baada ya kutotambuliwa na tu yoyote.
Kuhusu kutoweka kwa msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ben Sanane, Kamishna Boaz amesema jeshi hilo linaendelea na upelelezi ili kubaini mahali alipo na kilichomsi
EATV
Jaribu kumheshimu mwenyeviti wa kijiji, tunaishi nao huku ni watu makini..... we pokea taarifa tu.Hii Taarifa utadhani mwenyekiti wa kijiji anazungumza na wanakijiji, haipo kitaalamu kabisa
yaleyale ya abdalah zombePolisi yatoa tamko miili 7 na kutoweka kwa Sanane
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu miili 7 ya watu iliyokutwa ikielea katika mto Ruvu na kusema kuwa linaendelea na upelelezi kwa lengo la kuwatambua marehemu hao.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya JInai Kamishna wa Polisi Robert Boaz, amesema jeshi hilo bado halijawatambua marehemu hao, huku akitetea uamuzi wa jeshi hilo kuzika haraka miili ya marehemu 6 kati ya 7.
"Hatua zote za kitaalam zilifuatwa na tunaendelea kufanya upelelezi unaolenga kuwatambua marehemu hao na kujua ni jambo gani liliwasibu, tunawasihi wananchi kuendelea kutupa taarifa zitakazosaidia kutambulika kwa marehemu hao" Amesema Boaz
Akielezea jinsi jeshi hilo lilivyopata taarifa, amesema jeshi hilo lilipata taarifa za kuelea kwa maiti 7 katika mto Ruvu eneo la Mkuruge wilayani Bagamoyo kati ya tarehe 6/12/2016 hadi 9/12/2016 ambapo askari na daktari walifika katika eneo la tukio na kufanya uchunguzi wa kitaalam.
Amesema miili 6 kati ya 7 ilikuwa imeharibika sana na ndiyo maana iliamuliwa zizikwe katika eneo la tukio wakati moja yenye unafuu ikipelekwa hospitali ya wilaya ya Bagamoyo hadi tarehe 16/12/2016 ilipozikwa na halmashauri baada ya kutotambuliwa na tu yoyote.
Kuhusu kutoweka kwa msaidizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Ben Sanane, Kamishna Boaz amesema jeshi hilo linaendelea na upelelezi ili kubaini mahali alipo na kilichomsi
EATV
MKUU WA MACHINGA NDO NANI YULE JAMAA AU NANI HAPATaharifa gani hii Kama imetolewa na mkuu WA machinga Tanzania.
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
Wazir wa jeshi la polisWaziri wa jeshi la Polisi amesema huyu Ben ni rafiki yake wa karibu sana na alikuwa anamsaidia mpaka kwenye kampeni za ndani za chama chake.